Tafuta
Kuhusu Sisi
Karibu Mwafika Asili - Blog ya Utalii wa Ndani
Habari Maarufu
Haki Miliki
© 2013 mwafikasil.blogsport.com
Mawasiliano
mwafrikasili@gmail.com
Powered by Blogger.
Tuesday, April 9, 2013
MAPOROMOKO YA MAJI KAPOROGWE
11:58 AM
| Imetumwa
MWAFRIKASILI
|
Haya ni maporomoko ya maji ya Kaporogwe huko Tukuyu Mkoani Mbeya. Ni eneo zuri la kuvutia sana. Chini ya poromoko hili kuna pango zuri na viti kwa ajili ya picnic. Tafadhali usikose kutembelea katika kivutio hiki cha kipee Tanzania.
Ukiwa ndani ya Pango la Kaporogwe utaburudishwa na hali nzuri ya hewa na madhari asili ya bonde la Kaporogwe Falls.
Sio siri kama unahitaji kuona tofauti na kuburudisha na kuburudisha akili na nafsi yako fika kaporogwe
0 Maoni:
Post a Comment