Tafuta

Kuhusu Sisi

Karibu Mwafika Asili - Blog ya Utalii wa Ndani

Habari Maarufu

Jiunge Nasi

Jisajilikwenye blog hii
Twitter
Facebook

Haki Miliki

© 2013 mwafikasil.blogsport.com

Mawasiliano

mwafrikasili@gmail.com

Powered by Blogger.
Tuesday, April 9, 2013

MAPOROMOKO YA MAJI KAPOROGWE





 Haya ni maporomoko ya maji ya Kaporogwe huko Tukuyu Mkoani Mbeya. Ni eneo zuri la kuvutia sana. Chini ya poromoko hili kuna pango zuri na viti kwa ajili ya  picnic. Tafadhali usikose kutembelea katika kivutio hiki cha kipee Tanzania.




 Ukiwa ndani ya Pango la Kaporogwe utaburudishwa na hali nzuri ya hewa na madhari asili ya bonde la Kaporogwe Falls.

Sio siri kama unahitaji kuona tofauti na kuburudisha na kuburudisha akili na nafsi yako fika kaporogwe